{"id":942112,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942112/?format=json","text_counter":384,"type":"speech","speaker_name":"Cherangany, JP","speaker_title":"Mhe. Joshua Kutuny","speaker":{"id":61,"legal_name":"Joshua Serem Kutuny","slug":"joshua-kutuny"},"content":" Mhe. Spika, ni tatizo kubwa sana kwa sisi ambao tumebaleghe katika lugha kuona watu wananajisi lugha hapa. Nimebonyeza dude hapa tena kwa muda mrefu sana nikitaka kutoa muongozo. Ni hoja ya nidhamu."}