{"id":942786,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942786/?format=json","text_counter":360,"type":"speech","speaker_name":"Bura, JP","speaker_title":"Hon. Ali Wario","speaker":{"id":252,"legal_name":"Ali Wario","slug":"ali-wario"},"content":"Ninazungumza leo nikitaka shughuli hiyo isimamishwe mara moja. Oparesheni ambayo inafanyika katika sehemu ile isitishwe na serikali ijenge upya hizo shule. Sharti serikali iwalipe ridhaa walioathirika. Asante."}