{"id":943848,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/943848/?format=json","text_counter":57,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Spika, neno “mkunga” ni midwife kwa Kiingereza. Kwa hivyo si neno langu mimi bali ni neno la Kiswahili. Ijapokua mimi ni Mswahili, hilo ni neno linalotumika kuanzia, Sofala, Msumbiji, Kisimayu na hata Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo."}