{"id":945447,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/945447/?format=json","text_counter":206,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Kwa hivyo, kupatikana kwa miili hiyo kulitoa afueni kubwa kwa Wakenya wote. Juhudi za wanajeshi zilizaa matunda wakati miili hiyo miwili ilipopatikana."}