{"id":945451,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/945451/?format=json","text_counter":210,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Eliud Kipchoge kama Mkenya ameweza kuushinda ulimwengu na kutoa fursa kwa watu wengine ili wapate fursa ya kufikiria vile wanaweza kupunguza muda ambao unaweza kutumika kukimbia mbio za marathoni."}