{"id":949295,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949295/?format=json","text_counter":88,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Sakaja","speaker_title":"","speaker":{"id":13131,"legal_name":"Johnson Arthur Sakaja","slug":"johnson-arthur-sakaja"},"content":"Asante sana, Sen. Wetangula. Hiyo ni taarifa ambayo nilikuwa nayo hapo awali. Ningependa kumweleza kuwa shida ya wachuuzi wetu Nairobi haswa sio tu kiwango cha ada lakini wanalipa hizo hela na hawapati huduma."}