{"id":949309,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949309/?format=json","text_counter":102,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Spika, World Bank kwa Kiswahili ni Benki ya Dunia sio benki kuu ya dunia. Hakuna benki ya kimataifa ambayo inajulikana kama World Bank."}