{"id":949482,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949482/?format=json","text_counter":77,"type":"speech","speaker_name":"Mvita, ODM","speaker_title":"Hon. Abdullswamad Nassir","speaker":{"id":2433,"legal_name":"Abdulswamad Sheriff Nassir","slug":"abdulswamad-sheriff-nassir"},"content":" Asante, Bwana Spika. Tayari ilidokezwa kuwa kuna athari kubwa sana ya hizi ferry . Wizara iliambiwa hamna jambo lolote limefanyika. Lile la kusikitisha zaidi ni kuwa, baada ya jambo hili kutokea, mita kadhaa kutoka hapo kuna"}