{"id":949740,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949740/?format=json","text_counter":335,"type":"speech","speaker_name":"Nyali, Independent","speaker_title":"Hon. Mohamed Ali","speaker":{"id":13455,"legal_name":"Mohammed Ali Mohamed","slug":"mohamed-ali-mohamed"},"content":"Katika Mtongwe Ferry tulipoteza makumi ya watu na tulidhani labda tutajifunza mengi na kuhakikisha kwamba tumeweza kuwa tayari kwa matukio kama haya."}