{"id":950049,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/950049/?format=json","text_counter":216,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Nikimaliza, ninatuma rambirambi zangu binafsi kwa familia ya mwenda zake, Bi. Mariam Kigenda, pamoja na mtoto wake. Ninaomba Mwenyezi Mungu awape subira wakati wa msiba huu."}