{"id":950089,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/950089/?format=json","text_counter":256,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Ninachukua fursa hii tena kusema poleni sana watu wa Pwani na hasa kwa familia ya mwendazake. Mungu ailaze roho yake na ya mwanaye mahali pema peponi."}