{"id":950287,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/950287/?format=json","text_counter":178,"type":"speech","speaker_name":"Wundanyi, WDM-K","speaker_title":"Hon. Danson Mwashako","speaker":{"id":13509,"legal_name":"Danson Mwashako Mwakuwona","slug":"danson-mwashako-mwakuwona"},"content":"wale waliotia sahihi stakabadhi fulani. Lakini wale mabwenyenye ambao wanafaidika kutoka na ile pesa ya ufisadi, wengi wako huru, hata wengi wako katika hili Bunge. Ni jambo la kusikitisha sana."}