{"id":950293,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/950293/?format=json","text_counter":184,"type":"speech","speaker_name":"Lamu CWR, JP","speaker_title":"Hon. (Ms.) Ruweida Obo","speaker":{"id":786,"legal_name":"Ruweida Mohamed Obo","slug":"ruweida-mohamed-obo"},"content":"Nchi yetu ya Kenya inaonyesha ina nguvu maana waporaji wanapora kwelikweli na nchi bado imesimama. Lakini njia hii tunayoenda kama hatutachukua mikakati mizuri ya kuondoa ufisadi, basi nchi itasambaratika."}