{"id":954225,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/954225/?format=json","text_counter":335,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"kama hayo. Kwa hivyo, ili kukuza uchumi wa kitalii lazima kaunti zetu ziwe na mbinu za kutafuta vitu vipya ambavyo vinaweza kusaidia katika mambo ya utalii."}