{"id":959584,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/959584/?format=json","text_counter":354,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"ikiwa watalazimishwa kupanda mikoko katika sehemu ile, itaboresha mazingira yale na kusaidia pakubwa kusafisha hewa ambayo inatumika katika mji wa Mombasa na viunga vyake, ili wananchi wapate hewa safi."}