{"id":963153,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/963153/?format=json","text_counter":85,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Nimesimama kuambatana na Kifungu cha 48(1) ya Kanuni za Bunge la Seneti kuomba Taarifa kutoka kwa Kamati ya Kudumu ya Barabara na Uchukuzi kuhusu utoaji wa vibali vya usafirishaji mizigo/shehena kutoka Bandari ya Mombasa na utoaji wa vibali vinavyohusiana na shehena hizo."}