{"id":966518,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/966518/?format=json","text_counter":17,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Lusaka","speaker_title":"The Speaker","speaker":null,"content":" Basi, naona kwamba Delegation ya Kilifi iko na marafiki wengi sana katika Maseneta, kwa sababu naona kwamba wengi wao wanataka kuwakaribisha. Kwa hivyo, mtazungumza kwa kifupi ili nyote muweze kupata nafasi."}