{"id":966521,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/966521/?format=json","text_counter":20,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Olekina","speaker_title":"","speaker":{"id":407,"legal_name":"Ledama Olekina","slug":"ledama-olekina"},"content":"Ningependa kuzingatia mambo mawili; kwanza, ni kuwahakikishia kwamba kweli, mko na shujaa hapa, ambaye anawatetea watu wa Kilifi. Yeye ni rafiki yangu ambaye tunaketi pamoja, Sen. Madzayo."}