{"id":969338,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/969338/?format=json","text_counter":414,"type":"speech","speaker_name":"Lungalunga, JP","speaker_title":"Hon. Khatib Mwashetani","speaker":{"id":2163,"legal_name":"Khatib Abdallah Mwashetani","slug":"khatib-abdallah-mwashetani"},"content":" Ahsante sana Mhe. Naibu wa Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii kuunga mkono Ripoti hii ambayo imeletwa na ambayo inahusu swala la usalama katika vivukio vyetu."}