{"id":974155,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/974155/?format=json","text_counter":42,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Mwenyezi Mungu ampeleke katika safari hii yake ya mwisho hapa ulimwenguni na tuhakikishe kwamba sisi ambao tunabaki nyuma tunayaangalia yale ambayo amefanya na kufanya bora zaidi."}