{"id":974156,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/974156/?format=json","text_counter":43,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Jambo la kusikitisha ni kwamba, Mhe. Dori aliacha familia changa sana. Watoto wake wote ninafikiri hawazidi miaka 15. Kwa hivyo, ni jambo la kusikitisha lakini analofanya Mwenyezi Mungu ndilo tunalokubali. Sisi kama binadamu hatuna la kufanya zaidi isipokuwa kumwombea Mwenyezi Mungu katika safari yake."}