{"id":974198,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/974198/?format=json","text_counter":85,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"La muhimu zaidi pia ni kutambua kwamba kuna watoto wa kike 50 ambao amekuwa akiwalipia karo katika shule hiyo. Kwa hivyo, kiongozi kama huyo alijitolea kwa moyo msafi."}