{"id":976116,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/976116/?format=json","text_counter":160,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Zawadi","speaker_title":"","speaker":{"id":13176,"legal_name":"Christine Zawadi Gona","slug":"christine-zawadi-gona"},"content":"Asante, Bw. Spika. Nataka kumpongeza Sen. Kihika kwa kuleta mjadala huu wa kina mama. Bw. Spika, Mwenyezi mungu alimuumba mwanamke akiwa ametulia sana kwa sababu alikuwa kiumbe cha mwisho kuumbwa."}