{"id":976123,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/976123/?format=json","text_counter":167,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Spika, sio nia yangu kumsimamisha Sen. Zawadi, lakini anaposema kwamba mwanamke ni kiumbe maalumu au tofauti, wakati twajua kuwa mwanamke alitoka katika ubavu wa mwanamume---"}