{"id":976148,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/976148/?format=json","text_counter":192,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Wario","speaker_title":"","speaker":{"id":13224,"legal_name":"Golich Juma Wario","slug":"golich-juma-wario"},"content":"Nawapenda Maseneta wanawake na nimeona wamefurahishwa na jambo hilo. Nitahudhuria hafla hiyo ya akina mama. Naunga mkono Rais wa akina mama katika IPU ambaye aikuwa Spika wa Kaunti ya Nakuru na Seneta anayewakilisha Kaunti ya Nakuru sasa hivi."}