{"id":980148,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/980148/?format=json","text_counter":66,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Zawadi","speaker_title":"","speaker":{"id":13176,"legal_name":"Christine Zawadi Gona","slug":"christine-zawadi-gona"},"content":"Asante sana, Bw. Spika. Naungana na wenzangu katika mjadala ulioko mbele yetu, kwamba Waziri aje hapa ili tuzungumze naye ama tumuulize maswali kuhusu nini anachokipanga kuhusu watu wetu."}