{"id":980222,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/980222/?format=json","text_counter":140,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Spika, zaidi ya watu 100 wameuwawa kinyama katika mikono ya maafisa wa polisi au wahusika wa usalama wa nchi. Hakujakuwa na mwelekeo wowote wa kisheria kuhusiana na swala hili."}