{"id":980787,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/980787/?format=json","text_counter":40,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Pareno","speaker_title":"","speaker":{"id":13180,"legal_name":"Judith Ramaita Pareno","slug":"judith-ramaita-pareno"},"content":"kutoka Kisii, nawakaribisha. Ningependa kusema kwamba kuna taarifa tuliyopata wakati mwingine kwamba kuna mjadala Katika County Assembly ya Kisii kwamba akina mama ambao wameteuliwa walikuwa wanadhulumiwa; kwamba hawawezi kwenda kwa wodi kwa sababu wameteuliwa na hawana haki kwa sababu hao wameteuliwa. Nmefurahi sana kuona ndugu zetu kutoka Kisii ambao wanatoka Katika"}