{"id":980868,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/980868/?format=json","text_counter":121,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kinyua","speaker_title":"","speaker":{"id":13202,"legal_name":"John Kinyua Nderitu","slug":"john-kinyua-nderitu-2"},"content":"Bw. Spika, nimemsikia mwenzangu Seneta wa Kaunti ya Makueni akisema alimwona Mchina akiwa amejifunga kinywa. Akasema ilionekana kana kwamba ana ugonjwa huu wa Corona . Je, inamaanisha kwamba ukijifunga kinywa ama ukitoka China una ugonjwa wa Corona ?"}