{"id":980870,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/980870/?format=json","text_counter":123,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mutula Kilonzo Jnr","speaker_title":"","speaker":{"id":13156,"legal_name":"Mutula Kilonzo Jnr","slug":"mutula-kilonzo-jnr"},"content":".: Bw. Spika, kuna vitu ambavyo wanavaa kwa mdomo. Ukiwaona wanapotoka Uchina ama katika viwanja vingine vya ndege wanavaa hivyo vitu. Utafikiria kwamba mtu huyo ana huo ugonjwa. Tulipotoka Kabarak hadi Uwanja wa"}