{"id":981002,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/981002/?format=json","text_counter":255,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Kwa hivyo Bw. Naibu Spika, naomba utoe onyo kali kwa wale Waheshimiwa wa Jubilee, ya kwamba ni lazima waheshimu Bunge la Seneti na pia wafanye heshima kwa Wakenya waliowapigia kura kutoka sehemu wanazotoka. Na pia,"}