{"id":981076,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/981076/?format=json","text_counter":329,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Asante sana, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii. Nilikuwa na hoja ya nidhamu kwa ndugu yangu, Sen. Madzayo."}