{"id":983853,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/983853/?format=json","text_counter":218,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Jambo la kwanza ambalo Serikali inafaa kuzingatia ni kwamba vifaa hivyo vinapatikana haraka iwezekanavyo, ili wanaowatibu wagonjwa wa Virusi vya Korona wanajikinga ili wasiambukizwe virusi hivyo vya Korona. Je, Kenya Medical Research Institute (KEMRI) inafanya nini? Kwa mfano,"}