{"id":991728,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/991728/?format=json","text_counter":33,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"iko chini. Hii ni kwa sababu stakabathi za masomo hazitiliwi uzito. Utapata mtu aliyesoma na kupata shahada ya PhD wanafanya kazi katika hospitali yetu kama hivi sasa wakati wa COVID-19 na ukilinganisha mishahara yao na wale wanaofanya kazi kama"}