{"id":993427,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/993427/?format=json","text_counter":231,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Asante, Bw. Spika. Umetuambia katika uamuzi wako ya kwamba tusitumie maneno ambayo yatakuwa na madharau ama yanaweza kuudhi mtu. Ninavyoelewa ni kwamba -"}