{"id":993777,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/993777/?format=json","text_counter":83,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Asante Bi. Spika wa Muda. Kumalizia tu ni kwamba, lazima tukabiliane na ufisadi wa mazao, kama walivyosema Sen. Khaniri na Sen. Cherargei katika Taarifa yao. Huu ni wakati mgumu na tunapaswa kuona wakulima wamepata faida kutoka kwa mazao yao."}