{"id":994208,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/994208/?format=json","text_counter":39,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Bw. Spika wa Muda, la mwisho ni kwamba, lazima Serikali yetu iwajibike kwa sababu Wakenya wamechoka kupoteza watoto, akina mama na familia zao kwa mambo ya mafuriko kila mwaka."}