{"id":998738,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/998738/?format=json","text_counter":87,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Kutoka kwa Waziri mpaka madaktari wanachukulia kuwa yule anayeugua COVID-19 kama mtu anayeugua ugonjwa ambao haufai kuwa katika ulimwengu wetu. Watu hao wanabaguliwa na hawaruhusiwi kufanya jambo lolote kwa sababu kuna hatari ya kuambukiza watu wengine."}