{"id":998741,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/998741/?format=json","text_counter":90,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Katika kupambana na ugonjwa wa COVID-19, lazima tuondoe unyanyapaa. Bila kufanya hivyo, inamaanisha kuwa tutaendelea kuwatenga wagongwa wa COVID-19. Mwishowe, kila mtu atajitenga na mwingine."}