{"count":1608389,"next":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=136331","previous":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=136329","results":[{"id":1379711,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1379711/?format=json","text_counter":107,"type":"speech","speaker_name":"Kinango, PAA","speaker_title":"Mhe. Gonzi Rai","speaker":null,"content":"Tumekuwa na machifu na wafanyikazi ambao wanafanya kazi katika sehemu kame. Kule Kinango, walimu wanapatiwa hardship allowance lakini machifu, County Commissioners, Deputy County Commissioners, Assistant County Commissioners na wafanyikazi wengine wote wa Umma walio kule hawalipwi. Tunapouliza shida hii inatokana na nini, hakuna jibu isipokuwa kuzungushwa. Mkaguzi wa Hesabu huja hapa miaka nenda, miaka rudi akitueleza kuwa mtu anastaafu lakini haondolewi katika orodha ya wafanyikazi; mwenye kumshikilia anabaki pale miaka kumi ili watu waendelee kupokea pesa za yule aliyestaafu. Wakati mwingine machifu wanapoelekea kustaafu, wanapeana notice ya likizo wakisubiri retire . Linalostaajabisha ni kwamba baada ya likizo, wanapostaafu, pensheni yao huchukua hata miaka sita kabla ya kulipwa. Wengine wanakufa kabla ya kupata pesa zao. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor"},{"id":1379712,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1379712/?format=json","text_counter":108,"type":"speech","speaker_name":"Kinango, PAA","speaker_title":"Mhe. Gonzi Rai","speaker":null,"content":"Mhe. Spika wa Muda, ni muhimu tuwe na utaratibu maalum wa kuhakikisha kuwa mwalimu, chifu au mfanyikazi yeyote anapostaafu anapata haki yake baada ya miezi mitatu au sita. Tunawaua watu wengi. Ni jambo la kusikitisha. Mara kwa mara, tunaskia kuwa wizara fulani ina wafanyakazi gushi na wote wanalipwa mshahara, lakini aliyefanya kazi kwa kujitolea katika nchi hii anabaki akisubiri malipo yake ya uzeeni na hawezi kupata. Hili ni jambo ambalo linafaa kuangaliwa kwa undani. Ningependa kumshukuru Mheshimiwa aliyeleta Mswada huu kwa sababu anajua kitu ambacho kinahitaji kuangaliwa ili kuleta ukarabati na uwiano."},{"id":1379713,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1379713/?format=json","text_counter":109,"type":"speech","speaker_name":"Kinango, PAA","speaker_title":"Mhe. Gonzi Rai","speaker":null,"content":"Mhe. Spika wa Muda, kwa hayo machache, asante sana kwa kunipa nafasi. Lengo lilikuwa kutoa sauti yangu. Mungu akubariki."},{"id":1379714,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1379714/?format=json","text_counter":110,"type":"speech","speaker_name":"The Temporary Speaker","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(Hon. (Dr) Rachael Nyamai): Hon. Members, the time allocated for this Bill has ended. I therefore call upon the Mover to reply."},{"id":1379715,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1379715/?format=json","text_counter":111,"type":"speech","speaker_name":"Embakasi Central, UDA","speaker_title":"Hon. Mejjadonk Gathiru","speaker":null,"content":" Thank you, Hon. Temporary Speaker. Before I reply, I wish to donate three minutes to Hon. Kiragu, Member for Limuru, and two minutes to Hon. Omboko Milemba. I will then use the remaining minutes. Thank you."},{"id":1379716,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1379716/?format=json","text_counter":112,"type":"speech","speaker_name":"The Temporary Speaker","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(Hon. (Dr) Rachael Nyamai): Member for Limuru."},{"id":1379717,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1379717/?format=json","text_counter":113,"type":"speech","speaker_name":"Limuru, UDA","speaker_title":"Hon. Eng. John Kiragu","speaker":null,"content":" Thank you, Hon. Temporary Speaker. I would like to support this Bill. I support the mandatory retirement at the age of 60 because it will open many opportunities for young people to get into public service. We all know that 60 years is not the end of life. There are opportunities in the private sector and these are the people with experience. They will have the resources and experience to engage in many other things. I am one of those people who retired voluntarily at the age of 40 and I am now here. I know it pays."},{"id":1379718,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1379718/?format=json","text_counter":114,"type":"speech","speaker_name":"Limuru, UDA","speaker_title":"Hon. Eng. John Kiragu","speaker":null,"content":"The problem with retirement is with people who are allowed to act for a long time. Sometimes those in acting capacity end up losing because of manipulation to ensure that they do not get benefits at the end. In my view, when people in service lose their benefits, it is necessary to punish those who sleep on their jobs and make sure they pay. When it comes to the Committee of the whole House, I will bring an amendment to ensure that those who allow officers to act for more than six months pay for it."},{"id":1379719,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1379719/?format=json","text_counter":115,"type":"speech","speaker_name":"Limuru, UDA","speaker_title":"Hon. Eng. John Kiragu","speaker":null,"content":"I support you. Thank you."},{"id":1379720,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1379720/?format=json","text_counter":116,"type":"speech","speaker_name":"The Temporary Speaker","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(Hon. (Dr) Rachael Nyamai): Hon. Omboko Milemba."}]}