{"count":1608389,"next":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=136361","previous":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=136359","results":[{"id":1380011,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1380011/?format=json","text_counter":191,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Asante Bw. Spika. Mimi ninajiunga na wenzangu kumpongeza Sen. Wakili Sigei kwa Taarifa aliyoleta kuhusiana na uhuru wa waandishi habari. Kidemokrasia, uhuru wa waandishi wa habari ni muhimu sana kwa sababu wao ndio wanaowajulisha wananchi na wahusika masuala muhimu yanayoibuka katika jamii. Imekuwa wazi sasa ya kwamba, magavana wengi na hata mawaziri wa Serikali kuu wanawanunua waandishi habari. Wale ambao hawawezi kununuliwa, wanatumiwa wahuni kuwapigwa, kutishwa na hata wengine wamewahi kupoteza maisha yao. Uhuru wa wanahabari ni kiungo muhimu cha demokrasia. Kama Seneti hatuwezi kuacha uhuru huo uhujumiwe na wale wanaoona ya kwamba ni bora kuficha yale matendo yanayofanywa kinyume na sheria ili wananchi wasije wakayaona. Kuhusu magavana, sasa wamepata moyo ya kwamba, wengi wakija hapa---"},{"id":1380012,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1380012/?format=json","text_counter":192,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(Sen. Kisang and Sen. (Dr.) Khalwale consulted Sen. Tabitha Mutinda)"},{"id":1380013,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1380013/?format=json","text_counter":193,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Kingi","speaker_title":"The Speaker","speaker":null,"content":" Order! Hon. Senators. Sen. Kisang and Sen. (Dr.) Khalwale, please, take your seats. You may consult, but do so in low tones."},{"id":1380014,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1380014/?format=json","text_counter":194,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Spika, ninashangaa, Sen. (Dr.) Khalwale---"},{"id":1380015,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1380015/?format=json","text_counter":195,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Kingi","speaker_title":"The Speaker","speaker":null,"content":" Sen. Faki, just proceed to make your point."},{"id":1380016,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1380016/?format=json","text_counter":196,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Spika, umri wa Sen. (Dr.) Khalwale haumruhusu kufanya yale anayoyafanya kwa sasa."},{"id":1380017,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1380017/?format=json","text_counter":197,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(Laughter)"},{"id":1380018,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1380018/?format=json","text_counter":198,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate."},{"id":1380019,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1380019/?format=json","text_counter":199,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Spika, magavana wamepata moyo kwa vile wanapokuja hapa, mara nyingi wanaponyoka na hawapelekwi nyumbani. Wamepata moyo kwamba hata wanaweza kuwatishia wanahabari kule nje. Ninawahakikisia kwamba, atakaye kuja mara ijayo itabidi ajitahidi sana kwa sababu tuko na ari ya kuwapeleka nyumbani."},{"id":1380020,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1380020/?format=json","text_counter":200,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(Applause)"}]}