{"count":1608389,"next":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=138719","previous":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=138717","results":[{"id":1403591,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403591/?format=json","text_counter":238,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Miraj","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Asante, Bw. Naibu Spika. Namkaribisha Bi. Waziri. Najulisha Seneti ya kwamba, katika Kamati yetu ya Labour and Social Welfare, tuko na mapendekezo ya Mswada wa usimamizi wa maktaba zetu. Mswada huu umependekezwa na Seneta, Kamishina, Mhe. Joyce Korir. Baada ya kujulishwa kwamba jukumu hili limegatuliwa kwa gatuzi zetu, na hili ni ombi Bi. Waziri, kwa sababu umejieleza vizuri kwamba usimamizi pamoja na raslimali za kusimamia maktaba hizi umeenda katika gatuzi, ni muhimu kama Serikali kuu, muweze kuangalia kwa sababu maktaba hizi zimebaki kama mahame. Katika Kaunti ya Mombasa, kuna moja ambayo ni mzee. Hata vitabu vilivyo pale vinakaa kuchoka. Tusikwepe majukumu kwa kusema kuwa maktaba zimegatuliwa. Tushirikiane na magavana kuona kwamba malengo ya kuwa na maktaba yameafikiwa. Maktaba zinafaa kuboreshwa. Shughuli zinazoendeshwa katika maktaba hizo ziwe ni za kumfaidi Mkenya. Wengi wataona kuwa majukumu yameenda na kurudi kule. Cha muhimu zaidi kwa mwananchi ni huduma nzuri katika taasisi zetu. Bw. Naibu wa Spika, kama wengine walivyosema, natoa shukran zangu kwa Bi. Waziri kuweza kufika hapa."},{"id":1403592,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403592/?format=json","text_counter":239,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kathuri","speaker_title":"The Deputy Speaker","speaker":{"id":13590,"legal_name":"Murungi Kathuri","slug":"murungi-kathuri"},"content":" Yours was just a comment. I want to close with the Senator for Kilifi, who is also the Senate Minority Leader, Sen. Madzayo."},{"id":1403593,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403593/?format=json","text_counter":240,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"The Senate Minority Leader","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":" Bw. Naibu wa Spika, nachukua nafasi hii kama Seneta wa Kilifi nikijua kwamba Waziri aliye hapa ni dada kutoka Kilifi. Sikua nimempa kongole. Kama Seneta wa Kilifi, nampa kongole rasmi kwa kuchaguliwa kama Waziri wa Gender, Culture, the Arts and Heritage. Hio ni nafasi kubwa ambayo watu wa Kilifi walipewa. Namshukuru Mhe. Rais kwa kumchagua dadangu, Hon. Aisha Jumwa. Tumetoka mbali naye. Alikuwa womenrepresentative, kabla ya kuchaguliwa kama Member of Parliament (MP). Amefanya mambo mengi. Nina uhakika anaweza kazi kwa kuwa alikuwa na ujasiri wakati wa kujibu maswali."},{"id":1403594,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403594/?format=json","text_counter":241,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kathuri","speaker_title":"The Deputy Speaker","speaker":{"id":13590,"legal_name":"Murungi Kathuri","slug":"murungi-kathuri"},"content":" Asante Kiongozi wa Wachache. Bi.Waziri, tunakushukuru sana kwa kufika hapa. Hii Seneti ina watu ambao wamekomaa na hawana mambo mengi. Usiwe na shaka kufika hapa. Hata kama hujaitwa, unafaa kuja kutusalimia. Heri njema katika kazi unayofanya. Asante."},{"id":1403595,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403595/?format=json","text_counter":242,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(The Cabinet Secretary for Gender, Culture, the Arts and Heritage Hon. Aisha Jumwa) was ushered out of the Chamber)"},{"id":1403596,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403596/?format=json","text_counter":243,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kathuri","speaker_title":"The Deputy Speaker","speaker":{"id":13590,"legal_name":"Murungi Kathuri","slug":"murungi-kathuri"},"content":" Let us go back to the business we had. Sen. Mandago, you can proceed with the Motion on pending bills."},{"id":1403597,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403597/?format=json","text_counter":244,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(Resumption of debate on the Motion)"},{"id":1403598,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403598/?format=json","text_counter":245,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mandago","speaker_title":"","speaker":{"id":13577,"legal_name":"Kiplagat Jackson Mandago","slug":"kiplagat-jackson-mandago"},"content":"Mr. Deputy Speaker, Sir, I had risen to support the Motion by Sen. Olekina. Of particular interest are pending bills in counties. My submission in this The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."},{"id":1403599,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403599/?format=json","text_counter":246,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mandago","speaker_title":"","speaker":{"id":13577,"legal_name":"Kiplagat Jackson Mandago","slug":"kiplagat-jackson-mandago"},"content":"House is that in the budget-making process of Financial Year 2024/2025 by county governments is that---"},{"id":1403600,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403600/?format=json","text_counter":247,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kathuri","speaker_title":"The Deputy Speaker","speaker":{"id":13590,"legal_name":"Murungi Kathuri","slug":"murungi-kathuri"},"content":" Sen. Mandago, you have 14 minutes."}]}