{"count":1608389,"next":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=138857","previous":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=138855","results":[{"id":1404971,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1404971/?format=json","text_counter":347,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(Question proposed)"},{"id":1404972,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1404972/?format=json","text_counter":348,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Abdul Haji","speaker_title":"The Temporary Speaker","speaker":null,"content":" Nitapatia nafasi Maseneta waweze kutupa mawazo yao kuhusu Hoja hii. Sen. Maanzo, fursa ni yako."},{"id":1404973,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1404973/?format=json","text_counter":349,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Maanzo","speaker_title":"","speaker":{"id":13589,"legal_name":"Maanzo Daniel Kitonga","slug":"maanzo-daniel-kitonga"},"content":"Asante, Bw. Spika wa Muda. Ninaomba kuchangia Hoja hii muhimu. Mwaka wa 2008 hadi 2010 nilikuwa nimesimamia michezo hapa nchini. Kuna umuhimu kuwa na uwanja wa kimataifa kule Mombasa ambapo michezo inaweza kufanyika. Tulikuwa Rwanda kwenye michezo ya Bunge za Afrika Mashariki mwaka uliopita. Michezo hii ilipokuwa hapa nchini, ilichezewa Kaunti ya Mombasa na hakukuwa na viwanja vya kutosha kwa wachezaji wote. Mwaka huu Kenya itakuwa wenyeji wa michezo hii. Nahofia kuwa tutarudi Mombasa na hatuna viwanja. Ni muhimu kuwa na uwanja wa kimataifa mjini Mombasa. Hoja hii pia imeguzia swala la ruzuku ya masharti. Hizi ni fedha ambazo hupeanwa duniani ili kujenga viwanja vya kuchezea. Kuna aina nyingi ya michezo kama vile kandanda, netiboli na riadha. Ni muhimu sana kabla tupate wageni wa East Africa Community (EAC) Inter-"},{"id":1404974,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1404974/?format=json","text_counter":350,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"parliamentary games"},{"id":1404975,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1404975/?format=json","text_counter":351,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Maanzo","speaker_title":"","speaker":{"id":13589,"legal_name":"Maanzo Daniel Kitonga","slug":"maanzo-daniel-kitonga"},"content":"tuwe na uwanja wetu kwani sisi sote tutaelekea Mombasa. Tutaenda Kaunti ya Mombasa ijapokuwa hakuna uwanja wa kimataifa, wala viwanja vya kutosha. Michezo kadhaa itachezewa kwa mashule. Jambo hili linafaa kuzingatiwa ili viwanja vilivyo kule Mombasa vipate wafadhili ili waweze kusaidia, tuwe na viwango vizuri vya viwanja. Kaunti za Mombasa, Kilifi na Kwale zinafaa zitenge fedha kwenye bajeti zao za kutengeneza viwanja vya kuchezea. Kuna talanta kubwa sana, hasa ya kandanda kule Mombasa. Nilipokuwa shule ya Upili ya Starehe, wachezaji bora zaidi wa mpira wa kandanda walitoka upande wa Pwani. Kulikuwa na mmoja aliyekuwa anaitwa Mohamed aliyekuwa mashuhuri sana kwa kandanda. Pwani, kuna talanta na inafaa zizingatiwe. Isikuwe tu wakati tunaomba kura; wakati wa siasa ndio tunaenda Pwani, Lakini wakati wa kugawa raslimali ya Kenya wakaaji wa Pwani wanakosa vitu muhimu kama uwanja wa mchezo. Inafaa tuwe na uwanja huu ili michezo mikubwa kama ambayo inatarajiwa ya kandanda 2027 mchuano mmoja ufanyike Mombasa. Wakenya wamezoea hali ya anga ya Mombasa ila wachezaji wageni wangepata ile joto wakicheza, kwani siyo nchi nyingi zina joto kama Mombasa. Pwani kuna bahari ambapo wageni wengi huzuru. Ili utalii uimarike nchini, ingekuwa vyema kwa watalii ambao wanapenda michezo wakizuru Pwani wanafanya mazoezi ya kukimbia, kandanda na mazoezi mengine kwenye uwanja huu."},{"id":1404976,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1404976/?format=json","text_counter":352,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Maanzo","speaker_title":"","speaker":{"id":13589,"legal_name":"Maanzo Daniel Kitonga","slug":"maanzo-daniel-kitonga"},"content":"The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."},{"id":1404977,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1404977/?format=json","text_counter":353,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Maanzo","speaker_title":"","speaker":{"id":13589,"legal_name":"Maanzo Daniel Kitonga","slug":"maanzo-daniel-kitonga"},"content":"Naunga Hoja hii muhimu mkono. Ningeomba Serikali izingatie masuala ya Pwani. Siyo tu wakati wa kuomba kura pekee, ambapo wapwani wanawapa kura zao na wakati wa maendeleo wanaachwa nyuma. Mwenye Hoja hii, Seneta wa Mombasa, amesema kuwa wakati Standard Gauge"},{"id":1404978,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1404978/?format=json","text_counter":354,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Railway (SGR)"},{"id":1404979,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1404979/?format=json","text_counter":355,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Maanzo","speaker_title":"","speaker":{"id":13589,"legal_name":"Maanzo Daniel Kitonga","slug":"maanzo-daniel-kitonga"},"content":"ilitengenezwa, biashara nyingi zilianguka. Hii ni njia moja ya kurudisha biashara na wageni Mombasa na kuhakikisha ya kwamba uchumi wa Mombasa unaimarika. Pia talanta zilizo Pwani zimenaswa na Wakenya wengi wamejitokeza kushiriki kwenye Olimpiki na michezo ya kandanda ya kimataifa. Asante, Bw. Spika wa Muda. Ninaunga mkono."},{"id":1404980,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1404980/?format=json","text_counter":356,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Abdul Haji","speaker_title":"The Temporary Speaker","speaker":null,"content":" Sen. Cherarkey, proceed."}]}