{"count":1608389,"next":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=138862","previous":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=138860","results":[{"id":1405021,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405021/?format=json","text_counter":397,"type":"speech","speaker_name":"Sen. (Dr.) Khalwale","speaker_title":"","speaker":{"id":170,"legal_name":"Bonny Khalwale","slug":"bonny-khalwale"},"content":"Asante, Bw. Spika wa Muda. Naomba kuchangia Hoja hii. Kabla sijatoa maoni yangu, namshukuru ndugu yangu, Sen. Faki na aliyemuunga mkono, Sen. Madzayo. Haya maneno ya Mombasa Stadium sio ya kufanyia mchezo. Ujenzi wa uwanja huo ulianza kabla tupate Uhuru katika nchi yetu ya Kenya. Ni jambo la kusikitisha sana kuwa successive governments zimekataa kufadhili ili kuboresha uwanja huu wa kitaifa. Bw. Spika wa Muda, siwezi kulaumu Serikali ya Kitaifa pekee. Serikali ya Kaunti ya Mombasa pia imechangia haya. Ndugu zangu wengine hawakuwa hapa. Mimi nilikuwa katika hii Seneti nilipomuona aliyekuwa Gavana, Mhe. Joho, akichukua hundi la milioni mia tano ya kujenga hiyo stadium. Bejeti hiyo ilipitishwa. Leo hii, watu wa pwani, hasa kutoka Mombasa, ambao wananisikiza wanafaa kumuuliza Mhe. Joho kule pesa hizo zilienda. Tunaweza kutaka"},{"id":1405022,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405022/?format=json","text_counter":398,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"national Government"},{"id":1405023,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405023/?format=json","text_counter":399,"type":"speech","speaker_name":"Sen. (Dr.) Khalwale","speaker_title":"","speaker":{"id":170,"legal_name":"Bonny Khalwale","slug":"bonny-khalwale"},"content":"itenge pesa na pengine kitakuwa chombo kingine cha kuwapa nafasi wanaume kula pesa---"},{"id":1405024,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405024/?format=json","text_counter":400,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Cherarkey","speaker_title":"","speaker":{"id":13217,"legal_name":"Cherarkey K Samson","slug":"cherarkey-k-samson"},"content":"Na wanawake pia."},{"id":1405025,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405025/?format=json","text_counter":401,"type":"speech","speaker_name":"Sen. (Dr.) Khalwale","speaker_title":"","speaker":{"id":170,"legal_name":"Bonny Khalwale","slug":"bonny-khalwale"},"content":"Wanawake sio wezi wa pesa sana."},{"id":1405026,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405026/?format=json","text_counter":402,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(Laughter)"},{"id":1405027,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405027/?format=json","text_counter":403,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Abdul Haji","speaker_title":"The Temporary Speaker","speaker":null,"content":" Sen. Wambua, hoja yako ya nidhamu ni ipi?"},{"id":1405028,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405028/?format=json","text_counter":404,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Wambua","speaker_title":"","speaker":{"id":13199,"legal_name":"Enoch Kiio Wambua","slug":"enoch-kiio-wambua"},"content":"Bw. Spika wa Muda, nashukuru kwa kunipa nafasi kusimama kwenye hoja la nidhamu. Nimemsikia Seneta wa Kakamega akidai kuwa alimuona kinara"},{"id":1405029,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405029/?format=json","text_counter":405,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Wambua","speaker_title":"","speaker":{"id":13199,"legal_name":"Enoch Kiio Wambua","slug":"enoch-kiio-wambua"},"content":"The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."},{"id":1405030,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405030/?format=json","text_counter":406,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Wambua","speaker_title":"","speaker":{"id":13199,"legal_name":"Enoch Kiio Wambua","slug":"enoch-kiio-wambua"},"content":"wa chama cha Azimio la Umoja-One Kenya Coalition ambaye alikuwa Gavana wa Mombasa akiwa amebeba kitita cha shilingi milioni mia tano."}]}