{"count":1608389,"next":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=140161","previous":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=140159","results":[{"id":1418011,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1418011/?format=json","text_counter":69,"type":"speech","speaker_name":"Wundanyi, WDM","speaker_title":"Hon. Danson Mwashako","speaker":null,"content":" Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika. Nakushukuru kwa nafasi hii niweze kuwakaribisha vijana wa Chuo Kikuu cha Kenyatta kutoka Pwani. Hawa vijana, karibu mia moja kwa ujumla, waliona ni vyema leo watembee katika Bunge la Kitaifa ili wakaone ni vipi tunafanya kazi katika Nyumba hii ambayo imeheshimika. Hawa wanafunzi wamebobea sana katika masuala ya masomo tofauti tofauti. Kando na masomo, hawa ni viongozi ambao tunatarajia ndani ya miaka miwili, au mitatu, wanapomaliza masomo yao ya chuo, wengine wao watakuwa Wabunge, Maseneta na viongozi katika taifa letu la Kenya."},{"id":1418012,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1418012/?format=json","text_counter":70,"type":"speech","speaker_name":"Wundanyi, WDM","speaker_title":"Hon. Danson Mwashako","speaker":null,"content":"Kwa niaba ya wenzangu wa Pwani, mimi nikiwa mwenyekiti wa Vuguvugu la Wabunge wa Pwani, nachukua nafasi hii kuwakaribisha katika Bunge la Taifa vijana wetu kutoka Pwani, wajisikie wako sawa na wako kwao. Wajue sisi Wabunge wao tutafanya kazi ili masomo yao yasitatizike. Pia tutafanya kazi ili nchi yetu ipate nafasi za ajira wanapomaliza shule na vyuo ili wapate kazi na wabadilishe hali za maisha ya nyumbani kwao. Karibuni vijana wa COSAKU ambao ni wa kutoka Chuo Kikuu cha Kenyatta. Pengine niseme tu, nikiwa hicho chuo mwaka wa 1999 hadi 2003, mimi na wengine ndio tulianzisha Coast Students Association kule. Kwa hivyo, nikiwaona hapa, nafurahia, maanake najua kazi tuliyoifanya wakati ule, leo hii bado inabobea na bado wameshikilia umoja wa Pwani."},{"id":1418013,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1418013/?format=json","text_counter":71,"type":"speech","speaker_name":"Wundanyi, WDM","speaker_title":"Hon. Danson Mwashako","speaker":null,"content":"Ahsante, Mhe. Naibu Spika."},{"id":1418014,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1418014/?format=json","text_counter":72,"type":"speech","speaker_name":"Ugunja, ODM","speaker_title":"Hon. Opiyo Wandayi","speaker":null,"content":" On a point of order, Hon. Deputy Speaker."},{"id":1418015,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1418015/?format=json","text_counter":73,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Deputy Speaker","speaker_title":"","speaker":null,"content":"What is your point of order, Leader of the Minority Party?"},{"id":1418016,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1418016/?format=json","text_counter":74,"type":"speech","speaker_name":"Ugunja, ODM","speaker_title":"Hon. Opiyo Wandayi","speaker":null,"content":" Thank you, Hon. Deputy Speaker. Before I get to my substantive issue, I echo what the Leader of the Majority Party has said earlier on the appearance of cabinet secretaries. Today, I came here eager to meet my good friend, Moses Kuria. Unfortunately, he has not been able to come. Hon. Moses Kuria had one time written to this House asking for a high-level meeting to discuss how Government business is to be processed in this House. I would have expected him to be the first person to come here and address those issues. All the same - and that is a by the way - I hope that in the coming weeks, we shall have cabinet secretaries coming on time as invited."},{"id":1418017,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1418017/?format=json","text_counter":75,"type":"speech","speaker_name":"Ugunja, ODM","speaker_title":"Hon. Opiyo Wandayi","speaker":null,"content":"The issue I am raising a point of order on is the matter of the…"},{"id":1418018,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1418018/?format=json","text_counter":76,"type":"speech","speaker_name":"Kikuyu, UDA","speaker_title":"Hon. Kimani Ichung’wah","speaker":null,"content":" Hon. Deputy Speaker, on a point of information."},{"id":1418019,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1418019/?format=json","text_counter":77,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Deputy Speaker","speaker_title":"","speaker":null,"content":"What is your point of information, Leader of the Majority Party?"},{"id":1418020,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1418020/?format=json","text_counter":78,"type":"speech","speaker_name":"Kikuyu, UDA","speaker_title":"Hon. Kimani Ichung’wah","speaker":null,"content":" Thank you, Hon. Deputy Speaker. I thank the Leader of the Minority Party for allowing me to inform him. I responded to that particular issue that Hon. Opiyo Wandayi is referring to. When the Cabinet Secretary, Hon. Moses Kuria, The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor"}]}