{"count":1608389,"next":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=140309","previous":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=140307","results":[{"id":1419491,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419491/?format=json","text_counter":192,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii kuunga mkono Hoja ya Sen. M. Kajwang’ ya kufanya marekebisho ya Hoja ya Sen. Olekina kuhusiana na malumbukizi ya madeni. Imekuwa muda mrefu sasa tunazungumzia maswala ya madeni ambayo yako katika kaunti zetu na ambayo yamefikia zaidi ya Kshs60 bilioni. Ripoti za auditor zimekuwa zikizungumzia malumbukizi haya ya madeni lakini hakujakuwa na mwafaka wowote ama jambo lolote ambalo Seneti imeweza kufanya kuhakikisha ya kwamba madeni haya yanapungua na vile vile pia yanakuwa mambo ya kusahau. Marekebisho haya yatatoa nafasi kwa Seneti na vile vile kwa Controller of"},{"id":1419492,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419492/?format=json","text_counter":193,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Budget"},{"id":1419493,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419493/?format=json","text_counter":194,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":", na pia National Treasury kuzuia pesa zinazokwenda katika kaunti zetu iwapo hawataweza kulipa madeni. Tumeona visa vingi vya serikali za kaunti kuomba pesa ili kulipa madeni, lakini wanapopata pesa zile wanatumia kufanya miradi ama wanatumia kwa safari zao, na hivi basi madeni yanaendelea kubakia na madeni haya yanazuia utenda kazi wa kaunti zetu. Wakenya wengi ambao wamefanya biashara na serikali za kaunti wamefilisika, mali yao imeuzwa na vile vile wamekuwa hawawezi kufanya biashara na hivyo basi, pesa nyingi na mali imepotea kutokana na ukosefu wa uadilifu katika serikali za kaunti. Marekebisho haya yataweka meno ambayo yatasaidia kuuma wakati kutakuwa na upungufu iwapo hawataweza kulipa madeni hayo kwa muda unaofaa. Bw. Spika, ninaunga Mkono."},{"id":1419494,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419494/?format=json","text_counter":195,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."},{"id":1419495,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419495/?format=json","text_counter":196,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(Question of the amendment proposed)"},{"id":1419496,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419496/?format=json","text_counter":197,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Kingi","speaker_title":"The Speaker","speaker":null,"content":" Hon. Senators, you may now proceed to make your interventions. Senator Orwoba, you have the Floor."},{"id":1419497,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419497/?format=json","text_counter":198,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Orwoba","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Mr. Speaker, Sir, my button is on for the Maternal Health Care Bill that I was waiting to contribute to before you rearranged the Order Paper."},{"id":1419498,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419498/?format=json","text_counter":199,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Kingi","speaker_title":"The Speaker","speaker":null,"content":" Take your seat, Sen. Orwoba. Sen. Wambua, please, proceed."},{"id":1419499,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419499/?format=json","text_counter":200,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Wambua","speaker_title":"","speaker":{"id":13199,"legal_name":"Enoch Kiio Wambua","slug":"enoch-kiio-wambua"},"content":"Thank you, Mr. Speaker, Sir. I believe that we are speaking to the amendment."},{"id":1419500,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419500/?format=json","text_counter":201,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Kingi","speaker_title":"The Speaker","speaker":null,"content":" That is the Motion that is before the House."}]}