{"count":1608389,"next":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=140429","previous":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=140427","results":[{"id":1420691,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1420691/?format=json","text_counter":141,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Chute","speaker_title":"","speaker":{"id":13583,"legal_name":"Chute Mohamed Said","slug":"chute-mohamed-said"},"content":"ambao wanafanya hiyo kazi, wanajaza malipo yao na yanapitishwa na wale watu wanaoshughulika na procurement ya huo mpango. Hakuna kitu kitakachofanyika katika nchi hii ama kaunti ambacho kimepita katika Bunge la Kitaifa au la kaunti bila kujulikana hiyo budget inapangiwa mradi gani. Shida iliyo katika kaunti ni kuwa, baada ya budget kupitishwa na kujulikana ni"},{"id":1420692,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1420692/?format=json","text_counter":142,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"project"},{"id":1420693,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1420693/?format=json","text_counter":143,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Chute","speaker_title":"","speaker":{"id":13583,"legal_name":"Chute Mohamed Said","slug":"chute-mohamed-said"},"content":"gani itafanyika, wakati contractor amefanya kazi na ameandike certificate yake, inaenda kwa ofisi ya CoB. Certificate ikifika huko na pesa ilipwe, hiyo pesa haiendi kwa huyo contractor . Hiyo pesa ikitoka kwa CoB, inabadilishwa na inalipwa contractor mwingine."},{"id":1420694,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1420694/?format=json","text_counter":144,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Contractor"},{"id":1420695,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1420695/?format=json","text_counter":145,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Chute","speaker_title":"","speaker":{"id":13583,"legal_name":"Chute Mohamed Said","slug":"chute-mohamed-said"},"content":"ambaye certificate yake ilifika huko, anakaa akingoja pesa yake ilipwe ilhali pesa yake ilishalipwa katika ofisi ya CoB; a ccount number na jina za kampuni ziko huko na pia, jina na sahihi ya mwenye kutayarisha hiyo certificate kwa kaunti ziko huko. Kitu kimoja ambacho kinasababisha contractors na suppliers katika kaunti kuangamia ni kwamba pesa zao zinakuwa diverted . Zinabadilishwa kutoka kwa kampuni yao na zinalipwa kampuni nyingine. Niko na ushahidi kutoka Ofisi ya CoB. Kwamba, kuna kampuni za contractors na"},{"id":1420696,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1420696/?format=json","text_counter":146,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"suppliers"},{"id":1420697,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1420697/?format=json","text_counter":147,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Chute","speaker_title":"","speaker":{"id":13583,"legal_name":"Chute Mohamed Said","slug":"chute-mohamed-said"},"content":"katika kaunti ya Marsabit, ambayo nasimamia kama Seneta, ambao kulingana na ofisi ya CoB, wamelipwa. Nimepewa hizo documents kutoka kwa hiyo Ofisi na wale contractors wangefaa kulipwa, walisema hawajapata hiyo pesa nilipowauliza. Bw. Naibu Spika, sababu nyingine inayofanya pesa ya contractors na suppliers kucheleweshwa ni Own Source Revenue (OSR); ule ushuru unaonafaa kukusanywa katika kaunti. Wakati bajeti inapangwa, wanaongeza kiwango ambacho wanafaa kuokota kiwe zaidi. Hiyo inafanya suppliers wa kaunti wakose. Bw. Naibu wa Spika, shida ya tatu ni wakati bajeti imepitishwa na ushirika wa umma umefanywa, kuna kitu kinachosumbua sana ambacho kinaitwa supplementarybudget. Kwa mfano, baada ya bajeti kupitishwa kwa kaunti yangu ya Marsabit, yale maendeleo yangefanywa kama ujenzi wa barabara, nyumba, mashule au mahospitali na yalikuwa kwa bajeti, yale yaliyopangwa yanabadilishwa na supplementary budget inatengenezwa. Pesa zote zinatolewa kwa hayo maendeleo na zinapelekwa kwa"},{"id":1420698,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1420698/?format=json","text_counter":148,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"emergency relief supplies."},{"id":1420699,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1420699/?format=json","text_counter":149,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Chute","speaker_title":"","speaker":{"id":13583,"legal_name":"Chute Mohamed Said","slug":"chute-mohamed-said"},"content":"The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."},{"id":1420700,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1420700/?format=json","text_counter":150,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Chute","speaker_title":"","speaker":{"id":13583,"legal_name":"Chute Mohamed Said","slug":"chute-mohamed-said"},"content":"Kaunti kama ya Marsabit, katika supplementary budget, pesa ya maendeleo imebadilishwa na ikapelekwa kwa chakula na wakati mwingine, inakuwa shilingi milioni mia sita, saba au nane. Sababu ya hio pesa kubadilishwa kutoka kwa development fund na kupelekwa kwa relief supplies ni kwa sababu, kwa relief supplies, hakuna ile tenda ya kawaida inafanywa sababu ni emergency supplies procurement system . Hii ni njia ambayo inafanya ofisi ya gavana kuitisha wakandarasi bila kupitia njia ya tenda ya kawaida. Bw. Naibu wa Spika, tunaambiwa Maseneta ni watu wanatakikana kusaidia ugatuzi katika nchi hii. Ugatuzi ni lazima ufutwe na maendeleo. Ukiangalia Kaunti zingine na sitataja majina hapa, maendeleo yao ya ujenzini 6 per cent peke yake. Mimi ni mwanachama wa Kamati ya Ugatuzi na nilishtuka sana kuona makaunti yana 6 per cent. Kama unatumia 94 per cent kufanyisha kazi 6 per cent, kweli ugatuzi bado kufanya kazi. Ninaona ni kama hatufanyi kazi ya ugatuzi vizuri. Ninamshukuru sana Seneta wa Narok kwa kuleta Hoja hii. Ukitazama kaunti ambazo magavana wao ni Waisilamu, wao husema wanaenda Hajj na Umra . Pia wao wanasali mara tano kwa siku na wanalipa sadaka na Zakat . Lakini, ukiangalia kaunti zao, hizo ndizo kaunti zinarudisha ugatuzi nyuma. Hizo ndizo kaunti ambazo nina ufisadi mkubwa. Wao wanadai kaunti zao ni arid na hazina mvua ya kutosha. Wao hurudisha pesa za kujenga kwa kaunti kwa chakula. Bw. Naibu wa Spika, ukienda---"}]}