{"count":1608389,"next":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=140555","previous":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=140553","results":[{"id":1421951,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1421951/?format=json","text_counter":124,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(Mlango ulifungwa na kizuio kikafungwa)"},{"id":1421952,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1421952/?format=json","text_counter":125,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Maseneta, wakati umewadia wa kupiga kura ya mgawanyiko wa Hoja ya Kuidhiniswa kwa Ruzuku yenye Masharti kwa Ujenzi wa Uwanja wa Manispaa ya Mombasa. Kura zitapigwa kielektroniki. Kwa hivyo, mwanzo, ninataka niwasihi Maseneta wote mtoe kadi zenyu katika mitambo ya kupigia kura kisha Mpambe tafadhali uhakikishe kwamba hakuna kadi yoyote imebaki katika kile kishimo cha kuingiza kadi. Ukimaliza unipe ishara. Maseneta, mnaweza sasa kuweka kadi zenyu katika kile kishimo cha kupiga kura na kabla hamjaanza kupiga kura, nataka niweke swali ambalo mtalipigia kura na baadaye muanze kupiga kura. Swali lenyewe ni kama lifwatavyo- KUFAHAMU KWAMBA Sehemu ya 2 ya Ratiba ya Nne ya Katiba ya The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."},{"id":1421953,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1421953/?format=json","text_counter":126,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Kenya inazipa Serikali za Kaunti jukumu la kuendeleza, kuanzisha, kusimamia na kudumisha vifaa vya michezo na kitamaduni ambavyo ni pamoja na viwanja, viwanja vya michezo, vituo vya kitamaduni, na miundombinu mingine inayohusiana; IKIKUMBUKWA KUWA ukanda mzima wa Pwani Nchini hauna uwanja wa kisasa uliojengwa kwa viwango vya kimataifa, hivyo kuwanyima wananchi manufaa yanayotokana na viwanja na vifaa vya michezo; WASIWASI kwamba ujenzi wa uwanja wa michezo wa Manispaa ya Mombasa umekumbwa na ucheleweshaji na vikwazo tangu kuanzishwa kwa mradi huo mwaka wa 2019 kutokana na matatizo ya kifedha, ambayo yamesitishwa na kunyima jamii eneo hilo uwanja unaohitajika sana; KWA HIVYO SASA Bunge la Seneti linaazimia kwamba Hazina ya Kitaifa ya Wizara ya Masuala ya Vijana, Uchumi Ubunifu na Michezo itengee Serikali ya Kaunti ya Mombasa ruzuku ya masharti ya Shilingi bilioni 1.7 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Uwanja wa Manispaa ya Mombasa. Sasa Maseneta mnaweza kupiga kura kwa kubonyeza Ndio, La ama ususie kupiga kura."},{"id":1421954,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1421954/?format=json","text_counter":127,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(Upigaji Kura wa Kielektroniki unaendelea)"},{"id":1421955,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1421955/?format=json","text_counter":128,"type":"speech","speaker_name":"Bw. Kingi","speaker_title":"Mhe. Spika","speaker":null,"content":" Seneta Mteule, Sen. Ogola, kwa niaba ya Seneta wa Kaunti ya Homa Bay, tafadhali njoo kwa Meza upige kura yako."},{"id":1421956,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1421956/?format=json","text_counter":129,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(Sen. Ogola alienda kwa Meza na kupiga kura yake)"},{"id":1421957,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1421957/?format=json","text_counter":130,"type":"speech","speaker_name":"Bw. Kingi","speaker_title":"Mhe. Spika","speaker":null,"content":"Sen. Tobiko, kwa niaba ya Seneta wa Kaunti ya Kajiado, tafadhali pia njoo kwa Meza upige kura yako."},{"id":1421958,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1421958/?format=json","text_counter":131,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(Sen. Tobiko alienda kwa Meza na kupiga kura yake)"},{"id":1421959,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1421959/?format=json","text_counter":132,"type":"heading","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"KURA YA MGAWANYIKO"},{"id":1421960,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1421960/?format=json","text_counter":133,"type":"heading","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"UPIGAJI KURA WA KIELEKTRONIKI"}]}