{"count":1608389,"next":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=140877","previous":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=140875","results":[{"id":1425171,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425171/?format=json","text_counter":108,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Asante, Bw. Naibu wa Spika, kwa kunipa fursa hii kuchangia taarifa hii kuhusu Siku ya Kimataifa ya Chai iliyoletwa Bungeni na Sen. Cherarkey. Mombasa ndio soko kubwa kabisa la chai ulimwenguni. Ni faraja kubwa kwa watu wa Mombasa kwamba kwa miaka mingi sasa, wamekuwa wenyeji wa soko la chai ulimwenguni. Sio chai ya Kenya pekee ambayo inauzwa katika soko la chai la Mombasa. Kuna chai kutoka Burundi, Rwanda, Tanzania na sehemu nyingi ambapo chai hizo huchanganywa na chai ya Kenya – kwa sababu chai ya Kenya ni bora zaidi – ili kuboresha chai zingine ambazo zinauzwa ulimwenguni."},{"id":1425172,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425172/?format=json","text_counter":109,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."},{"id":1425173,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425173/?format=json","text_counter":110,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Jambo la kusikitisha ni kwamba hivi karibuni kumekuwa na hujuma ya soko la chai katika Kaunti ya Mombasa. Hujuma hizo zimechangia mataifa mengine kufungua masoko yao ya chai. Kwa mfano, nchi ya Tanzania imefungua mnada wao wa chai. Chai yao haiji tena Kenya kwa sababu ya masuala kama haya ambayo ninayazungumzia. Tunapozungumzia jinsi ya kusaidia kuinua uchumi wa chai, ni lazima tuangalie pande zote mbili. Chai bila soko haitaweza kusaidia mkulima. Lazima chai ipate soko bora ambayo itaweza kumsaidia mkulima na yule ambaye anauza chai hiyo. Hapa katikati kuna Shirika la Kenya Tea Development Agency (KTDA). Juzi tulikuwa na mkutano wa Kamati ya Labour and Social Welfare ambapo kuna suala lililotokea. Shirika moja la chai ambalo linaajiri wafanyikazi limekataa kulipa mfanyikazi kwa muda wa miaka mitatu sasa. Viongozi wa KTDA walipoitwa kuja mbele ya kamati yetu, walisema kwamba huyo sio mfanyikazi wao ilhali kampuni ya chai ambayo inahudumu kule inasema huyo ni mtu wao. Mara nyingi, mashirika kama KTDA ndio yanahujumu juhudi za mkulima. Katika soko la chai la Mombasa, wengi wanatumia wakati wao kufanya utafiti ili kuboresha chai. Kwa mfano, wiki iliyopita, niliwaambia baadhi ya Maseneta watumie chai ya hibiscus ambayo ni mojawapo ya chai ambazo zimebuniwa. Siku hizi kuna ladha tofauti tofauti za chai ambazo zinauzwa. Hii inachangia pakubwa kuipa Kenya fedha za kigeni. Tunaposherehekea Siku ya Kimataifa ya Chai, ni lazima pia tutambue mchango unaofanywa na Shirika la East African Tea Trade Association (EATTA) kule Mombasa pamoja na soko la chai la Mombasa kwa sababu pale ndipo wale wanaonunua chai wanakutana na wale wanaouza ili kuhakikisha kwamba soko la chai linaendelea kupanuka."},{"id":1425174,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425174/?format=json","text_counter":111,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kathuri","speaker_title":"The Deputy Speaker","speaker":{"id":13590,"legal_name":"Murungi Kathuri","slug":"murungi-kathuri"},"content":" Hapa naona Deputy Speaker Emiritus, Prof. Kamar."},{"id":1425175,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425175/?format=json","text_counter":112,"type":"speech","speaker_name":"Sen. (Prof.) Kamar","speaker_title":"","speaker":{"id":33,"legal_name":"Margaret Jepkoech Kamar","slug":"margaret-kamar"},"content":"Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir, for giving me an opportunity to say a few words as we prepare to celebrate the Internatinoal Tea Day. Tea has not only been a moneymaker for this country, but also a beverage that every Kenyan loves. We have our own way of making tea. Even when we are out of this country, people talk of Kenyan tea and the way Kenyans mix their tea. This is something worth celebrating. As we prepare to celebrate, we know that there are areas in this country with no cash crops. We encourage tea growing zones to spread because tea is one of the crops that grow in most corners of this country. I was in Embu the other day and I have shared this with Sen. Munyi Mundigi. I discovered something that I did not know. There is a plant that looks like tea called muguka. Mr. Deputy Speaker, Sir, my discovery of muguka was interesting because, as we were driving, we met many vehicles being driven at a supersonic speed. I asked what was being rushed by in those vehicles. I was told it is something called muguka . I then asked to be taken to a farm to see this plant. I saw the plant and it looked like a very healthy tea crop. I am saying this---"},{"id":1425176,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425176/?format=json","text_counter":113,"type":"speech","speaker_name":"Sen. (Prof.) Kamar","speaker_title":"","speaker":{"id":33,"legal_name":"Margaret Jepkoech Kamar","slug":"margaret-kamar"},"content":"The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."},{"id":1425177,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425177/?format=json","text_counter":114,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kathuri","speaker_title":"The Deputy Speaker","speaker":{"id":13590,"legal_name":"Murungi Kathuri","slug":"murungi-kathuri"},"content":" Sen. Tabitha Mutinda, what do you think you can inform a Professor who has a lot of knowledge?"},{"id":1425178,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425178/?format=json","text_counter":115,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(Laughter)"},{"id":1425179,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425179/?format=json","text_counter":116,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kathuri","speaker_title":"The Deputy Speaker","speaker":{"id":13590,"legal_name":"Murungi Kathuri","slug":"murungi-kathuri"},"content":"She must accept first that she needs your information."},{"id":1425180,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425180/?format=json","text_counter":117,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mutinda","speaker_title":"","speaker":{"id":13206,"legal_name":"Boniface Mutinda Kabaka","slug":"boniface-mutinda-kabaka-2"},"content":"Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. I am also following the rules of becoming one. However, you and I come from the great County of Meru and it is good that the Professor notes that we also have tea in Meru County. She may only have seen muguka, but we also have tea."}]}