{"count":1608389,"next":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=147662","previous":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=147660","results":[{"id":1494802,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1494802/?format=json","text_counter":35,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Wafula","speaker_title":"","speaker":{"id":348,"legal_name":"Davis Wafula Nakitare","slug":"davis-nakitare"},"content":"nafasi hata iwapo wiki ijayo ili waje wajieleze kinagaubaga na tufunge ukurasa wa changamoto hizi na tusonge mbele. Mwisho, hawa ni mawaziri wapya. Ni ufagio ambao lazima uanze kufagia na kutengeneza serikali. Tuwape nafasi japo tuna hasira. Hasira za mkizi ni furaha kwa mvuvi na sisi sio wavuvi. Sisi ni Jumba la Seneti linalopenda watu wote. Tuwape wote nafasi kufanya kazi kwa mujibu wa Katiba na yale yanayoweza kufanyika kibinaadam. Asante."},{"id":1494803,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1494803/?format=json","text_counter":36,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kathuri","speaker_title":"The Deputy Speaker","speaker":{"id":13590,"legal_name":"Murungi Kathuri","slug":"murungi-kathuri"},"content":" Sen. Mundigi Alexander, proceed."},{"id":1494804,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1494804/?format=json","text_counter":37,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Asante Bw. Naibu Spika. Nina huzuni nyingi kwa sababu tuliposema Mawaziri watakuja hapa siku ya jumatano, tulikuwa na maono ya kusaidia mwananchi mashinani. Sisi kama Maseneta huwa tunatetea ugatuzi. Mawaziri wanafanya kazi mashinani ndio wananchi waweze kufaidia. Ninahuzunika kama Maseneta wataleta mambo ya ukoo na kuwatetea. Kuna Mawaziri tuliwatimua na tukaleta wengine wapya ambao wamekuja na ujuzi wa kufanya kazi. Wakati mtu ameteuliwa, anafaa kuanza kazi siku hiyo kama vile Yesu alipokuwa anateua wanafunzi wake na wanaanza kufanya kazi siku hiyo. Tuko na mfano wa Naibu Rais, Mhe. Kindiki Kithure, alivyoteuliwa. Yeye alianza kazi mara moja. Nimeshangaa kuona Seneta mwenzangu akimtetea mtu kwa sababu ni wa kabila lake. Tutauwa ugatuzi tukifanya hivi."},{"id":1494805,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1494805/?format=json","text_counter":38,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Wafula","speaker_title":"","speaker":{"id":348,"legal_name":"Davis Wafula Nakitare","slug":"davis-nakitare"},"content":"On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir."},{"id":1494806,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1494806/?format=json","text_counter":39,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Nina huzuni kwa sababu kuna kijana mmoja ameuawa na ndovu Kiambere Ward wiki hii na familia yake haina pesa na kuna mchango unaendelea."},{"id":1494807,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1494807/?format=json","text_counter":40,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kathuri","speaker_title":"The Deputy Speaker","speaker":{"id":13590,"legal_name":"Murungi Kathuri","slug":"murungi-kathuri"},"content":" Sen. Mundigi---"},{"id":1494808,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1494808/?format=json","text_counter":41,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Bw. Naibu Spika nina huzuni. Naomba unipe nafasi niongee kwa sababu rafiki yangu, Bw. Wakoli, ameongea akamaliza. Nina huzuni na nataka nisaidiwe. Kuna mtu anaitwa John Muturi Mugo aliuawa na ndovu jana na leo mvua inanyesha. Waziri wa Utalii na Wanyamapori angekuwa hapa leo. Nina huzuni pia kuhusu mambo ya Social Health Authority (SHA ) na Social Health"},{"id":1494809,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1494809/?format=json","text_counter":42,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Insurance Fund (SHIF)."},{"id":1494810,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1494810/?format=json","text_counter":43,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Kuna mtu ametimuliwa na watu wanakufa na wengine wanaugua hospitalini. Nakataa yale mambo Maseneta wanapinga. Ningetaka hawa watu wachukuliwe hatua kali kwa sababu kuna Katiba ya kufuatwa katika Serikali ya muungano. Asante."},{"id":1494811,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1494811/?format=json","text_counter":44,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kathuri","speaker_title":"The Deputy Speaker","speaker":{"id":13590,"legal_name":"Murungi Kathuri","slug":"murungi-kathuri"},"content":" Sen. Munyi Mundigi, when the Chair is talking, you should also give him an opportunity because I am the one controlling the House. There was a point of order which was persistently requested by Sen. Wakoli and you did not give him that opportunity while on the Floor. Since he is not on the Floor, it is not possible to rise on a point of order."}]}